News

KAGERE, MORRISON KUIONGOZA SIMBA DHIDI YA RED ARROWS..INONGA KAMA KAWA, KAPOMBE BENCHI…

admin December 5, 2021 12:10 pm


Mshambuliaji Medie Kagere na Bernard Morrison wamepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC dhidi ya Red Arrows utakaopigwa Uwanja wa Heroes hapa Zambia saa 10 jioni.

Wawili hao wamekuwa na uelewano mkubwa uwanjani kitu ambacho benchi letu la ufundi chini ya Kocha Pablo Franco limeamua kuwaanzisha pamoja.

Kagere na Morrison watapata msaada wa karibu kutoka kwa viungo washambuliaji Rally Bwalya pamoja na Hassan Dilunga.

Henock Inonga na Pascal Wawa watasimama kama mabeki wa kati wakipata ulinzi kutoka kwa viungo wakabaji Jonas Mkude na Sadio Kanoute.

Kikosi kamili kilivyopangwa

Aishi Manula (28), Israel Patrick (5), Mohamed Hussein (15), Pascal Wawa (6), Henock Inonga (29), Jonas Mkude (20), Hassan Dilunga (24), Sadio Kanoute (13), Medie Kagere (14), Rally Bwalya (8), Bernard Morrison (3).

Wachezaji wa Akiba

Beno Kakolanya (30), Shomari Kapombe (12), Gadiel Michael (2), Joash Onyango (16), Erasto Nyoni (18), Peter Banda (11), Mzamiru Yassin (19), John Bocco (22) Ibrahim Ajibu (10).

SAA CHACHE KABLA KUCHEZA NA WAZAMBIA WENZAKE…BWALYA AFANYA MAAMUZI MAGUMU KISA SIMBA… FT: RED ARROWS 2-1 SIMBA SC….WAFUZU MAKUNDI SHIRIKISHO AFRIKA KINYONGEE..YANYANYASWA ZAMBIA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply