Azam FC

BAADA YA KUONA WABONGO WENGI NI ‘MIYEYUSHO’ AZAM WAMVUTA MMAREKANI KUWA BOSI WAO…

admin December 11, 2021 8:05 am

 


Aliyekuwa kuwa Kocha msaidizi wa Columbus Crew, Abdihamid Moalin ameingia mkataba wa miaka miwili na Azam FC kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Kituo cha Kukuza Vipaji maarufu kama Azam FC Academy. 

Moallin ambaye ni Mmarekani mwenye asili ya Somalia, alisaini mkataba mbele ya Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim.

Kocha huyo aliyewahi kuifundisha Horseed ya Somalia, pia atakuwa akifanya uchambuzi wa mechi za timu kubwa ya Azam FC.

Pia amewahi kufanya kazi kwenye Ligi Kuu ya Soka Marekani (MLS), katika timu ya Columbus Crew (2014-2016), kama Kocha Msaidizi wa timu hiyo na timu za vijana chini ya miaka 18 na 23 ikiwemo D.C United.

KOCHA WA CHAMA: YANGA ITASHINDA…MASTAA SIMBA WANYIMWA POSHO..RAGE AFUNGUKA…. SAA CHACHE KABLA YA DABI…MKWASA ASHINDWA KUJIZUIA..AANIKA TIMU ITAKAYOFUNGWA LEO..AITAJA YANGA..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply