Ligi Kuu

SIMBA YAIBUKA ‘KIDUME’ SAKATA LA UDHAMINI WA GSM…BODI YA LIGI WASALIMU AMRI…

admin December 18, 2021 10:00 am


Klabu 15 kati ya 16 zinazoshiriki Ligi Kuu ya Bara zimetoka na azimio la kuunga mkono Udhamini wa Kampuni ya GSM kwenye Ligi hiyo na ziko tayari kuvaa nembo za Mdhamini huyo mwenza wa Ligi hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa ya Bodi ya Ligi iliyotolewa vilabu hivyo pia vinepongeza juhudi za TFF na Bodi ya Ligi kusaka wadhamini na zimeomba kuendelea na juhudi za kusaka wadhamini wengine.


KISA YANGA…SIMBA WAMFICHA CHAMA…UONGOZI WAFUNGUKA A-Z MCHAKATO ULIVYO… NABI ATANGAZA KIAMA YANGA…ATOA MSIMAMO MKALI KUHUSU DAKIKA 270

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply