News

SIMBA WAFUNGUKA MAENDELEO YA MICHANGO YA UJENZI WA UWANJA..TSH BILIONI 2 ZA TAJWA…

admin December 21, 2021 12:00 pm

 


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salum Abdallah ‘Try Again” amesema zoezi la wanachama kuchangia fedha za ujenzi wa Uwanja wa klabu hiyo linaendelea vizuri.

‘Try Again’ amesema ndani ya muda mfupi tangu kuzinduliwa kwa zoezi hilo Desemba 17, idadi kubwa ya wanachama wamechangia fedha.

Mpango huu ni wazo la Mwanahisa mkuu Simba, Mohamed ‘Mo’ Dewji ambaye ameahidi kutoa Sh. Bilioni 2 ili wanachama wajazie klabu hiyo ijenge Uwanja wake kuepuka adha inazokutana nao kutumia Uwanja usio wake.

Kwa sasa Simba ina Uwanja wa mazoezi ‘Mo Simba Arena’ uliopo Bunju, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam na mechi zake za mashindano inatumia Uwanja wa Benjamin Mkapa.

BAADA YA SIMBA KUANZA MCHAKATO WA UWANJA WAO..YANGA NAO WAJIBU MAPIGO… SENZO ‘AWAKA’… BAADA YA KUKABIDHIWA RUNGU LA USAJILI….NABI APIGA ‘STOP’ …AMKINGIA KIFUA MCHEZAJI WAKE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply