Home news BAADA YA KUTAJWATAJWA SANA KUTUA SIMBA AU YANGA …MOSES PHIRI AVUNJA UKIMYA..AFUNGUKA...

BAADA YA KUTAJWATAJWA SANA KUTUA SIMBA AU YANGA …MOSES PHIRI AVUNJA UKIMYA..AFUNGUKA HAYA ..


MSHAMBULIAJI wa Zesco FC ya nchini Zambia, Moses Phiri ambaye Simba na Yanga zimekuwa zikionesha nia ya kumsajili kwenye usajili wa dirisha dogo, ametuma salamu baada ya wikiendi kufunga bao.

Phiri alifunga bao moja kwenye mchezo wa Ligi Kuu Zambia dhidi ya Kabwe Warriors uliomalizika kwa Zesco kushinda mabao 2-1.

Akizungumza na gazeti la Championi Jumatatu, Phiri amesema kuwa: “Bao lile ni kama salamu kwa mashabiki wangu hasa wa Tanzania ambao muda sio mrefu huenda nikajiunga nao.”

SOMA NA HII  KUISHUHUDIA YANGA vs MADEAMA KIINGILIO NI MIGUU YAKO GSM AFANYA KWELI