News

HILI HAPA ‘KOSI’ LA MNYAMA DHIDI YA AZAM…SAKHO TARATIIBU ANAKUJA..WAWA NA BOCCO MHHH….

admin January 1, 2022 3:19 pm


Medie Kagere na Kibu Denis wamepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja usiku.

Wawili hao wametengeneza uelewano mzuri baina yao ambacho tayari Kocha Pablo Franco amewaamini kutokana na wanachokifanya uwanjani.

Kagere na Kibu watapata msaada wa karibu kutoka kwa viungo washambuliaji Pape Sakho na Rally Bwalya watakaotokea pembeni.

Katika eneo la kiungo wa ulinzi Kocha Pablo kama kawaida amewaanzisha Jonas Mkude na Sadio Kanoute huku Joash Onyango na Henock Inonga wakisimama kama mabeki wa kati.

Kikosi kamili kilivyopangwa

Aishi Manula (28), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Joash Onyango (16), Henock Inonga (29), Jonas Mkude (20), Pape Sakho (17), Sadio Kanoute (13), Medie Kagere (14), Kibu Denis (38), Rally Bwalya (8).

Wachezaji wa akiba

Beno Kakolanya (30), Gadiel Michael (2), Pascal Wawa (6), Mzamiru Yassin (19), Hassan Dilunga (24), John Bocco (22), Chris Mugalu (7), Yusuf Mhilu (27)Jimmyson Mwinuke (21).

WAKATI YANGA NA GSM WAKITAKA KUMPA MIL 400 …HIVI NDIVYO MO DEWJI ALIVYOFANYA KUFURU ISHU YA CHAMA…. BAADA YA KUTOPEWA NAFASI…MUKOKO SHINDWA KUJIZUIA YANGA…AFUNGUKA ANAYOPITIA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply