kimataifa

KISA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA…AL MERRIKH YA SUDANI WAMSHITAKI KOCHA WA AL AHLY YA MISRI..

admin January 4, 2022 6:00 pm


Makamu wa Rais wa Al Merreikh, Adel Abugreisha amesema kuwa kitendo cha kocha wa Al Ahly inayoshiriki mashindano ya klabu bingwa, Pitso Mosimane kuhusika katika kuendesha droo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika inaleta mgongano wa kimaslahi.

“Tulipeleka malalamiko yetu kwenye Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kupitia barua rasmi, kupitia kwa Rais Hazem Mostafa, kwa sababu ya Mosimane kuchaguliwa kuwa kwenye timu ya watu waliochezesha droo ya Ligi ya Mabingwa na hatujapata majibu kutoka CAF hadi sasa,” amesema Abugreisha.

SHIBOUB AANZA KUKIWASHA NA SIMBA ZANZIBAR…PABLO AMWEKA KWENYE ‘LISTI’…HUYO MUAIVORY MHH… SIMBA YAMPANDISHA MZUKA KANOUTE….AAMUA KUVUNJA UKIMYA…ATANGAZA HATARI …

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply