News

MANARA AWAPA YANGA ZA USO…AWACHANA MCHANA KWEUPE…ADAI LAZIMA WAFUNGWE TU…AITAJA SIMBA..

admin February 9, 2022 4:00 am


Kupitia Mkutano na waandishi wa Habari jana Feburuari 8, 2022, Msemaji wa Klabu ya  Haji Manara amesema kuwa Klabu yake na viongozi hawatoi malalamiko kwa Waamuzi ila huwa wanafanya hivyo kuwakumbusha tu.

Haji Manara amesema kuwa Wajibu wao ni Kukumbusha tu, ila sio kupeleka malalamiko kwa Waamuzi kwa kuwa Klabu yao ina mashabiki na wanaona kuwa Haki Haitendeki na wao kazi yao ni Kusema kwa kuwa ndio Kazi ambayo wameichagua.

“Nilisema pale EFM hatuchezi ligi hii kuwa unbeaten tunacheza kuwa champion, Sisi ni klabu ya mpira lazima tutafungwa. Ni wenzetu tu ambao wanaamini wakifungwa wamehujumiwa.

“Sisi tunajua hii ni klabu ya mpira lazima kuna siku utapigwa.”

SIMBA WAZIDI KUIWASHA KISAWASAWA GSM…AHMED ALLY AZIDI KULICHOCHEA UPYA SAKATA..WADAI SABABU NI WAO… BILA KUPEPESA MACHO…JERRY MURO ‘AWAPA MAKAVU LIVE’ MANARA NA BUMBULI..ADAI NI VITUKO..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply