Home news KUELEKEA MECHI NA YANGA…ABDI BANDA KAMA KAWAIDA YAKE…ATOA MANENO HAYA YA NGEBE…

KUELEKEA MECHI NA YANGA…ABDI BANDA KAMA KAWAIDA YAKE…ATOA MANENO HAYA YA NGEBE…

 


BEKI wa Mtibwa Sugar, Abdi Banda amesema licha ya kucheza na Yanga isiyotegemea mchezaji mmoja kupata matokeo, ila Februari 23 wapinzani wao hao wajue wataziacha pointi tatu Uwanja wa Manungu.

Banda alikiri namna Yanga ilivyosukwa kucheza kitimu kuanzia kwa kipa hadi mshambuliaji, huku akiiona safu yake ya kiungo ndio injini inayopika mabao, pamoja na hilo haliwatishi kukabiliana nao katika mchezo huo.

โ€œYanga imeanza vyema msimu ikiwa kileleni mwa msimamo, hilo sio jambo dogo, inakuja kucheza nasi tunaojikwamua kutokana nafasi 14 ambayo siyo alama nzuri kwetu, huo mchezo utakuwa mgumu sana.โ€ alisema na kuongeza; โ€œTayari tumejua maeneo ya kuwadhibiti, mfano kiungo inayowafanya washambuliaji wawe bora.โ€

SOMA NA HII  WAKATI MASHABIKI WAKIDHANI MAYELE KATOSHA YANGA...NABI KATIKISA KICHWA KISHA AKASEMA HAYA..