Tetesi za usajili

ISHU YA MAYELE KUTAKIWA NA KAIZER CHIEF IPO HIVI KUMBE…BUMBULI AWEKA MAMBO WAZI…

admin March 9, 2022 4:58 pm


Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa, zinaeleza kuwa Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini inataka kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Fiston Mayele (27) ili akawe mbadala wa mshambuliaji wao, Sebia Samir Nurković (29) ambaye huenda akaondoka mwishoni mwa msimu huu.

Mayele amekuwa na kiwango bora ndani ya kikosi cha Yanga ambapo mpaka sasa amefunga jumla ya mabao 10 na pasi za mwisho tatu.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Msemaji wa Yanga, Hassan Bumbuli ameandika ujumbe kuhusu tetesi hizo ambao unasomeka: “Basi leo simu zote za waandishi ni kuhusu Mayele kwenda Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini. Ninachoweza kuwahakikishia ni kwamba anakwenda Avic Town (Kigamboni).”

BAADA YA KUANZA KUPATA NAFASI YANGA..’SURE BOY’ YAMKUTA YA KUMKUTA…KILAANI KUPOTEZA TENA NAFASI… KUELEKEA MECHI NA WAARABU…DILUNGA AUNGANA NA CHAMA…JOHN BOCCO ATIA WASIWASI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply