news

CHAMA ASHINDWA KUFICHA MAHABA YAKE KWA MAYELE NA SAIDO…AFUNGUKA ANAVYOWAKUBALI ‘KISHENZI YANI’…

admin March 12, 2022 6:00 pm


Kiungo wa Simba Clautos Chama amesema anawahusudu sana baadhi ya wachezaji wa kigeni kutoka kwa mahasimu wao Yanga.

Akizungumza kwenye mahojiano maalum, Chama amesema pia anawakubali pia wachezaji wenzie wakigeni kwenye timu ya Simba.

“Nadhani nitawataja Pape Sakho, Peter Banda, Saido Ntibazonkiza, Aucho licha ya kuwa sijamtazama sanaa akiwa anacheza na Mayele naye anafanya vizuri tu” amesema Chama.

Ikumbukwe Chama amerejea tena Simba miezi kadhaa iliyopita akitokea klabu ya RS Berkane ya Morocco.

BAADA YA KUSIKIA KESHO WAARABU WANASHUSHA ‘FULL MZIKI’…PABLO KAGUNA..KISHA AKAMTAJA MZAMIRU… PAMOJA NA UGUMU WA WAARABU ..PABLO ASISITIZA NENO MOJA TU….’TUTAWAFUMUA’….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply