News

SIMBA YADHIHIRISHA UKUBWA TAIFA STARS…YATOA WACHEZAJI SABA ..

admin March 15, 2022 4:14 pm


MACHI 15,2022 leo Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Kim Poulsen ameita wachezaji ambao watakaoingia kambini kwa ajili ya mechi za kirafiki zilizo kwenye kalenda ya FIFA.

Kwa upande wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco ni wachezaji 7 wameitwa ambao ni pamoja na kipa namba moja wa Simba Aishi Manula.

Beki Israel Mwenda, Shomari Kapombe na  Mohamed Hussein huku kwa upande wa viungo ikiwa ni Mzamiru Yassin na Jonas Mkude na mshambuliaji ni mmoja anaitwa Kibu Denis.

UKWELI MTUPU…KUNA TATIZO KUBWA SANA PALE YANGA..TIMU IMEGEUKA WODI YA WAGONJWA.. CHAMA AIOKOA SIMBA KUABISHWA NA WATOTO WA CAMBIASSO…MSUVA ACHEZA MWANZO MWISHO….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply