Habari za michezo
KUELEKEA MECHI YA CAF…..SIMBA WAONA ISIWE TABU…MASHABIKI KUINGIA KWA ‘UZITO’ HUU…..
Wawakilishi wa Tanzania Kimataifa Klabu ya Simba watacheza hmchezo wa mwisho hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika Aprili 3 katika Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam dhidi ya US Gendarmerie.
Sasa kiingilio cha chini katika mchezo huo wa mwisho wa Kundi D Kombe la Shirikisho ni Tsh 3000.
Bei nyingine ni kama zinavyoonekana kwenye Jedwali hapa chini;


Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.