Home news BAADA YA KUWA NNJE KWA MUDA MREFU…MUGALU NA KIBU WALIANZISHA SIMBA…

BAADA YA KUWA NNJE KWA MUDA MREFU…MUGALU NA KIBU WALIANZISHA SIMBA…


NYOTA wawili wa Simba ambao ni Chris Mugalu na Kibu Dennis tayari wameanza mazoezi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu Pablo Franco.

Washambuliaji hao wawili walikosekana katika mechi mbili za kimataifa ugenini ikiwa ni ile ya sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya USGN ya Niger pamoja na ule ambao Simba ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya RS Berkane.

Licha ya kuanza mazoezi kwa washambuliaji hao wawili kuna hatihati ya kuukosa mchezo wa leo dhidi ya Biashara United unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.

Sababu kubwa ya nyota hao kuukosa mchezo wa leo dhidi ya Biashara United ni kutokuwa fiti kwa kuwa wamekuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutoka na kuuguza majeraha.

SOMA NA HII  BINGWA SIMBA SUPER CUP KUSEPA NA M 15,KESHO NI SIMBA V TP MAZEMBE

1 COMMENT

  1. KUTOKA KUWA MKIMBIZI MPAKA KUSAJILIWA SIMBA SC….HAYA NDIO MAPITIO HALISI YA KIBU DENIS… - Bongo Soka

    […] wa 2021/2022, Kibu alivaa uzi wa Mnyama kwa mara ya kwanza ikiwa ni miongoni mwa ndoto zake kubwa kucheza katika […]