Habari za michezo

MOLOKO AANZA KUCHEKELEA YANGA…CHICO USHINDI PAMOJA NA YOTE NDIO BASI TENA…AJIPANGE…

admin April 7, 2022 2:03 pm


Kiungo wa Yanga, Jesus Moloko ambaye alikuwa nje kwa muda kutokana na kuwa na majeraha amesema kuwa kwa sasa yupo fiti na anahitaji kuanza kikosi cha kwanza.

Hayo yamesemwa na Kiungo huyo kuwa amefurahi kurejea na kuanza mazoezi na anamini kwamba kuwa fiti kurejea kwenye kikosi na kuendelea kutimiza majukumu yake ndani ya timu.

“Kikubwa ni kuona kila siku ninakuwa bora na nilipokuwa nje nilikuwa naona namna hali inavyokwenda na nilikuwa ninafanya mazoezi binafsi ili kuwa imara ,”.amesema Jesus Moloko.

Wakati alipokuwa nje kwa muda kiungo huyo mikoba yake ilikuwa mikononi mwa Said Ntibanzokiza,Farid Mussa na Chico Ushindi ambao walikuwa wakipewa majukumu na Kocha Mkuuu wa Yanga, Nasreddine Nabi

SALEHE JEMBE – NTIBAZONKIZA NI KAMA MVINYO…ANAZIDI KUWA MTAMU…. BAADA YA EVERTON KUCHAPWA JANA USIKU….GUNDU LA KUFUKUZWA LAANZA KUMZENGEA LAMPARD….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply