Habari za michezo

KUELEKEA ‘KARIAKOO DABI’….MAYELE AJIAPIZA KULIPIZA ALIVYOZALILISHWA NA HENOCK…’NITALIPAA’…..

admin April 9, 2022 10:32 am


Mshambuliaji wa Kimataifa wa DR Congo na Klabu ya Yanga aliyejizolea umaarufu kwa staili yake ya ushangiliaji, Fiston Mayele ‘mzee wa kutetema’ amesema ana Deni la kuzifunga katika Ligi Kuu msimu huu Klabu ya Simba na Namungo.

Mayele amezungumzia pia kitendo Cha Beki wa Kimataifa wa DR Congo,Henock Inonga kumsindikiza nje wakati akifanyiwa Sub kwenye Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopita Kati ya Simba SC na Yanga na kusema kuwa hajui beki huyo alikuwa anafikiria Nini kufanya vile ila Kwake Ni deni na atalilipa.

Simba SC na Yanga SC zinatarajiwa kukutana kwenye Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara April 30 Mwaka huu.

BAADA YA ABDI BANDA JANA KULIIBUA…KOCHA AL AHLY AWATAHADHARISHA WASAUZI KUHUSU SIMBA… HUKO UINGEREZA UBINGWA MSIMU HUU NI ZAIDI YA VITA YA UKRAINI NA URUSI…MAN CITY AKITELEZA TU…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply