Habar za Usajili Simba

DILI LA IDUMBA KUTUA SIMBA LIMEFIKIA HATUA HII…UNAAMBIWA NI BEKI HASWA…MAYELE HAPITI…

admin April 10, 2022 3:38 pm

Simba SC na Cape Town City, zimefikia Makubaliano ya kuuziana Beki wa Kati raia wa DRC Congo Nathan Idumba Fasika, Uhamisho wa Nyota huyo unakadiriwa kukamilika mwishoni mwa msimu ili kumpa nafasi Idumba amalize kuitumikia mkataba wake na  Cape Town City .

Kinachoendelea sasa ni Makubaliano binafsi na Beki huyo juu ya Mshahara wake na Simba sc.

Simba sc wakifanikiwa kumnasa Idumba watatengeneza pacha ya Inonga na Idumba ambao wamewai kucheza pamoja.

FT: POLISI TANZANIA 0-0 SIMBA SC…..PABLO KAMA KAWA ATOA LAWAMA…WAZIDI ‘KUIPANULIA’ YANGA NJIA… ALIYEMTUNGUA MANULA…..AANZA KUVIMBA KIBABE…ACHIMBA MKWARA WA KUFA MTU…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply