Home Habari za michezo FT: ORLANDO 4-3 SIMBA SC….MUGALU ‘APIGWA WAYA’….ILIBAKI ‘KIDUCHU’ TU HISTORIA MPYA IWEKWE….

FT: ORLANDO 4-3 SIMBA SC….MUGALU ‘APIGWA WAYA’….ILIBAKI ‘KIDUCHU’ TU HISTORIA MPYA IWEKWE….


Dakika 90 za Jasho zinakamilika kwa Simba kutolewa kwa Mikwaju ya penati 4-3 dhidi ya Orlando Pirates.

Licha ya kucheza kwa zaidi ya dakika 30 wakiwa Pungufu, baada ya Mshambuliaji wake Mugalu kuoneshwa kadi nyekundu.

Mkude, na Beki Henock Inonga walikosa penati kwa upande wa Simba na kufanya hitimisho la safari yao katika michuano ya CAF msimu huu.

SOMA NA HII  KISA MANULA....SHABIKI ATOZWA FAINI YA TSH ELFU 20...KOCHA AKOMALIA KISHA ADAI UTANI....