Habari za michezo

FT: ORLANDO 4-3 SIMBA SC….MUGALU ‘APIGWA WAYA’….ILIBAKI ‘KIDUCHU’ TU HISTORIA MPYA IWEKWE….

admin April 24, 2022 6:34 pm


Dakika 90 za Jasho zinakamilika kwa Simba kutolewa kwa Mikwaju ya penati 4-3 dhidi ya Orlando Pirates.

Licha ya kucheza kwa zaidi ya dakika 30 wakiwa Pungufu, baada ya Mshambuliaji wake Mugalu kuoneshwa kadi nyekundu.

Mkude, na Beki Henock Inonga walikosa penati kwa upande wa Simba na kufanya hitimisho la safari yao katika michuano ya CAF msimu huu.

BREAKING NEWS…UONGOZI SIMBA WAFANYA KUFRU..WACHEZAJI WAHAIDIWA MILIONI 750 ILI MSAUZI AFE USIKU HUU… DABI YA WANAWAKE….YANGA PRINCESS ‘WAIKUNYUGA’ SIMBA QUEENS…WAFUTA UTEJA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply