Home Habari za Yanga KISA SIMBA….MANARA AFUNGUKA ISHU YA KUPIGWA NA MASHABIKI WA YANGA…

KISA SIMBA….MANARA AFUNGUKA ISHU YA KUPIGWA NA MASHABIKI WA YANGA…


Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amesema alipopewa taarifa kuwa anatakiwa kuwa msemaji wa Klabu ya Yanga, aliogopa kwamba mashabiki wa timu hiyo wanaweza kumpiga.

Anasema sababu kubwa iliyomfanya aogope ni kutokana na jinsi alivyokuwa akiwachachafya mashabiki hao kipindi alipokuwa Simba.

Manara ameyasema hayo wakati akikabidhiwa rasmi kadi ya uanachama wa Yanga jana, April 28, 2022.

SOMA NA HII  WAKATI SIMBA NA YANGA ZIKIJIMWAYA MWAYA ...WAZO LA UJENZI WA UWANJA WA MKAPA LILITOKA HAPA...