Habari za Yanga

KISA SIMBA….MANARA AFUNGUKA ISHU YA KUPIGWA NA MASHABIKI WA YANGA…

admin April 29, 2022 2:38 am


Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amesema alipopewa taarifa kuwa anatakiwa kuwa msemaji wa Klabu ya Yanga, aliogopa kwamba mashabiki wa timu hiyo wanaweza kumpiga.

Anasema sababu kubwa iliyomfanya aogope ni kutokana na jinsi alivyokuwa akiwachachafya mashabiki hao kipindi alipokuwa Simba.

Manara ameyasema hayo wakati akikabidhiwa rasmi kadi ya uanachama wa Yanga jana, April 28, 2022.

ALICHOSEMA MANARA BAADA YA KUPEWA KADI YA UANACHAMA WA YANGA… UTAMU WA KLOPP WAUPAGAWISHA UONGOZI LIVERPOOL….WAAMUA LIWALO NA LIWE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply