Habari za michezo

MOHAMED SALAH ABEBA TUZO YA MCHEZAJI BORA UINGEREZA…RONALDO CHALIII…

admin April 29, 2022 5:47 pm


Mshambuliaji wa Klabu ya Liverpool raia wa Misri Mohamed Salah ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Ligi Kuu ya Uingereza kutosha kwa Shirikisho la Waaandishi wa Habari za Michezo nchini humo (FWA)

Salah mwenye umri wa miaka 29 amekuwa na msimu mzuri akiwa na klabu yake ya Liverpool baada ya kufanikiwa kufumania nyavu mara 22 na kutoa pasi za 13 za mabao kwenye jumla ya michezo 31 ya Ligi Kuu nchini Uingereza huku akiwa na jumla ya mabao 30 na pasi 14 za mabao katika michezo 44 aliyoshiriki kwenye mashindano yote.

Mshambuliaji huyo anatwaa tuzo hiyo ambayo msimu uliopita ilichukuliwa na beki wa kati wa Manchester City Ruben Dias lakini pia Salah ndiye kinara wa mabao wa Ligi Kuu ya Uingereza akiwa na jumla ya mabao 22, mabao matano zaidi ya Son Heung-Min wa Tottenham Hotspurs na Cristiano Ronaldo wa Manchester United

MANARA: WACHEZAJI WENGI WAKIBONGO HAWAJITAMBUI…MORRISON NI HATARI..ANAWEZA KUTUFUNGA… PIGA HAOOO….MABOSI SIMBA WAVAMIA KAMBI USIKU…MAYALE ASISITIZA LAZIMA ATETEME TU…CHAMA APEWA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply