Azam FC

MUKOKO TONOMBE KURUDI TENA BONGO AISEE…MATAJIRI WA AZAM FC WAANZA ‘KUMPETAPETA’….

admin April 29, 2022 2:37 am


Imeelezwa kuwa kiungo wa kazi aliyewahi kucheza ndani ya Yanga, Mukoko Tonombe yupo kwenye rada za mabosi Azam FC ili kuweza kuinasa saini yake.

Nyota huyo ni miongoni mwa wachezaji ambao waliweza kufanya vizuri ndani ya Yanga msimu uliopia wakati timu hiyo ilipomaliza ikiwa nafasi ya pili.

Pia alikuwa kwenye kikosi ambacho kiliweza kutinga hatua ya Fainali ya Kombe la Shirikisho na ikapoteza kwa kufungwa bao 1-0 na Simba.

Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, ni bao la Taddeo Lwanga kupitia pasi ya Luis Miquissone liliweza kuipa ushindi Simba.

Habari zinaleza kuwa mabosi Azam FC wameanza mazungumzo na kiungo huyo ili kuweza kumrejesha kwa mara nyingine Tanzania.

Aliposepa ndani ya Yanga kwa makubaliano maalumu kwa sasa anakipiga ndani ya Klabu ya TP Mazembe ya DR Congo.

POGBA ASHINDILIA MPANGO WA KUSEPA MAN UNITED…’KALEFT GRUPU’ LA WHATSAPP LA WACHEZAJI… ALICHOSEMA MANARA BAADA YA KUPEWA KADI YA UANACHAMA WA YANGA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply