Habari za michezo

BREAKING….WAKALA WA POGBA, IBRAHIMOVICH NA HALAAND, MINO RAIOLA AFARIKI DUNIA…

admin April 30, 2022 4:29 pm


Wakala wa wachezaji maarufu Dunia Mino Raiola 54′ amefariki Dunia mchana wa leo Jumamosi, Aprili 30, 2022 baada ya kuugua kwa muda mfupi akiwa nyumbani kwake Roma nchini Italia.

Wakala huyo maarufu duniani anawasimamia wachezaji Erling Halaand wa Borrusia Dortmund,Paul Pogba wa Manchester United na Zlatan Ibrahimovich huku akisifika kwa kufanya dili kadhaa za hela ndefu kwa mastaa hao maarufu duniani.

Wakala huyo alizaliwa katika mji wa Nocera Inferiore, Italy mwaka  1967 na alihamia Haarlem nchini Uholanzi akiwa na familia mwaka uliofatia huku akikulia katika maisha ya mpira akiwa kama mchezaji na kisha kama wakala.

FT: YANGA 0-0 SIMBA….MAYELE AFANYIWA ‘ROHO MBAYA’ NA INONGA…CHAMA ‘ASHINDWA KUPUMUA…’ KISA ‘KAZI CHAFU’ ZA KIBWANA SHOMARY….MORRISON AJIKUTA AKIZOMEWA UWANJA MZIMA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply