Habari za michezo

HENOCK INONGA BAKA ATAJWA BEKI BORA MSIMU HUU…AMIMINIWA MISIFA KAMA YOTE…

admin April 29, 2022 5:37 pm


Mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Daruweshi Saliboko amemtaja beki wa Simba, Henock Inonga Baka kuwa ndio Beki Bora msimu huu;

“Kwa mtazamo wangu ukiniambia nitaje beki bora msimu huu basi nitasema ni Inonga, kwani nimemshuhudia uwanjani tulipocheza na Simba na pia namuangalia akicheza dhidi ya timu nyingine,” amesema Saliboko na kuongeza:

“Beki anayejiamini na anaongoza wengine, tofauti na baadhi ya tabia za wachezaji ambao wanakuwa waoga kukumbushana majukumu mmoja anapojisahau.”

Inonga Baka alisajiliwa na Simba Mwanzoni mwa msimu huu akitokea Klabu ya DC Motema Pembe ya kwao nchini Congo, ambapo toka atue klabuni hapo amefaniki kupata namba ya kudumu kwenye kikosi cha kwanza cha mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu.


BUMBULI : SIMBA WANA ROHO MBAYA….HAWAZUNGUMZI CHOCHOTE…WANAONA TUTAPATA PESA NYINGI… MANARA: WACHEZAJI WENGI WAKIBONGO HAWAJITAMBUI…MORRISON NI HATARI..ANAWEZA KUTUFUNGA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply