Habari za michezo

BAADA YA SIMBA KUKAZIWA NA NAMUNGO JANA….PABLO ASHINDWA KUJIZUIA..AWATAJA WALIO ZINGUA…

admin May 4, 2022 4:03 pm


Kocha Mkuu Pablo Franco, ameweka wazi kuwa wamefanya makosa ya kiulinzi yaliyoifanya Namungo kupata mabao mepesi katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2 katika Uwanja wa Ilulu.

Pablo amesema wao  kama timu kubwa inayopambania ubingwa hawatakiwi kufanya makosa kama yale ambayo yanazidi kuwaweka katika mazingira magumu.

Mbali na safu ya ulinzi kufanya makosa Pablo amesema pia hakuwa vizuri katika kumalizia nafasi tuwalizopata hasa kipindi cha kwanza.

“Kwa timu kubwa kufanya makosa ya kiulinzi kama vile haileti picha nzuri. Pia tumetengeneza nafasi ambazo hatukuzitumia vizuri.

“Tutarudi kuendelea kujipanga kwa mchezo unaofuata, bado hatujakata tamaa tutahakikisha tunapambana kupata alama tatu kwenye kila mechi,” amesema Pablo.

ILE ISHU YA MWAKINYO KUZICHAPA MAREKANI KUMBE IKO HIVI BANA…APOROMOKA UBORA WA VIWANGO… RUVU SHOOTING vs YANGA …HAKUNA MBABE…MAYELE ‘ACHEZEWA UNDAVA MWINGI’ TENA…ASHINDWA KUTETEMA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply