Habari za michezo

BAADA YA ‘KUFYEKWA KININJA’ NA SIMBA…MORRISON KUTUA YANGA..CHIKO NAYE ‘SOON’ ATALIWA KICHWA YANGA…

admin May 13, 2022 4:51 pm


Klabu ya Yanga huenda ikalazimika kuachana na mchezaji wao Chiko Ushindi endapo Benard Morrison atajiunga tena na Yanga.

Uongozi haujaridhishwa na kiwango Cha mchezaji huyo kutoka DRC aliejiunga nao dirisha dogo.

Habari za kuaminika ni kwamba Simba SC na Morrison wamekubalina kuvunja mkataba huku akiwa amebakiza miezi miwili tu Katika mkataba wake.

Simba SC wameachana na Morrison huku nafas yake huenda ikachukuliwa na mchezaji wa zamani wa Simba Luis Miquison aliejiunga na Al Ahly ambapo hajaonesha kiwango kizuri.

Al Ahly wapo tayari kumtoa kwa mkopo mchezaji huyo sharti tu Simba SC wakubali kumlipa mshahara wake Kamili na stahiki nyengine.

BAADA YA SARAKASI NDEEEFUUU….SIMBA WAACHANA NA MORRISON ‘KISELA YANI’…BARBARA KABARIKI… DAKIKA CHACHE BAADA YA ‘KULIWA KICHWA’ SIMBA…MORRISON AVUNJA UKIMYA…AANIKA UKWELI WOTE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply