Habari za michezo

PEREZ AMKATIA TAMAA MBAPPE…KIINYOONGEE ‘AWACHANA UKWELI’ MASTAA WAKE MADRID..

admin May 22, 2022 8:55 am


Rais wa Real Madrid, Florentino Perez amewambia wachezaji wake na benchi la ufundi kuwa mshambuliaji wa PSG, Kylian Mbappe hatojiunga na timu hiyo.

Mabingwa hao wa LaLiga wameshindwa kunasa saini Mbappe dakika za mwisho baada ya kutakiwa kutoa paundi milioni 154 ili kupata huduma ya β€˜top scorer’ huyo wa Ligue 1.

Mama mzazi wa Mbappe, Fayza Lamari siku ya Ijumaa amesema kuwa kijana wake ameshafanya hitimisho ya mazungumzo kwa klabu zote mbili.

Baada ya mchezo dhidi ya Real Betis, Perez alikitaarifu kikosi cha Carlo Ancelotti kuwa Mbappe hatojumuika nao kwa mujibu wa vyanzo kutoka ndani ya timu hiyo.

Inadaiwa Madrid ilikuwa tayari kutoa paundi milioni 126.7 ikiwa ni pamoja na mshahara na bonasi.

FIFA WATOA ONYO LA MWISHO KWA KENYA…IKIKAIDI ITAKUTANA NA ‘RUNGU LENYE NCHA KALI KICHWANI’…. BAADA YA YANGA KUMUONGEZEA MKATABA ZAWADI MAUYA…BUMBULI ASHINDWA KUJIZUIA…AIBUKA NA HILI JIPYA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply