Habari za michezo

ISHU YA BWALYA NA MZAMIRU….HATIMA YAO KUAMULIWA NA MASHABIKI WA SIMBA…KIBU DENISI NAYE NDANI….

admin May 31, 2022 1:55 am


WACHEZAJI watatu wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco wanawania tuzo ya mchezaji bora.

Tuzo hiyo ni maalumu kwa ajili ya mashabiki ambao wamekuwa wakichagua mchezaji kupitia njia ya mtandao kwa kumpigia kura mchezaji wanayempenda ili aweze kusepa na tuzo hiyo.

Ni kiungo mzawa Mzamiru Yassin kiungo wa kazi, Rally Bwalya pia ambaye ni kiungo yupo kwenye orodha ya wachezaji wanaowania tuzo hiyo.

Kibu Dennis ni mshambuliaji pekee ambaye yupo kwenye orodha ya wachezaji ambao wanawania tuzo hiyo.

BAADA YA KUTINGA FAINALI….BILIONEA WA COASTAL UNION YA TANGA AIPIGA MKWARA YANGA SC.. FINALISSIMO NDANI YA SuperSport…WABABE KAMA WOTEE WA DUNIA KUKIWASHA… MZIGO WOTE HUU NDANI YA DStv….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply