Habari za michezo

CAF YAIPIGA RUNGU LA ADHABU SIMBA KWA KUFANYA “TAMBIKO LA KISHIRIKINA” UWANJANI….

admin May 17, 2022 1:26 pm


Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeipiga faini ya Dola za Marekani 10,000 (zaidi ya Tsh. Milioni 23) Klabu hiyo baada ya kupatikana na hatia ya kufanya ‘tambiko hatarishi’ katika mchezo dhidi ya Orlando Pirates.

Kabla ya mchezo huo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho, Wachezaji wa Simba walionekana kukusanyika katikati ya uwanja na baadaye moshi kutokea katikati ya kundi hilo

Taarifa kutoka CAF imesema Maafisa wa mchezo walionesha katika ripoti zao kwamba “Wachezaji wa Simba waliwasha moto katikati ya uwanja wakati wakijifanya kuomba kabla ya mechi. Ilitubidi kumwaga maji ili kuuzima moto”

MSEMAJI WA MTIBWA AWAPA ‘MAKAVU LIVE’ MANARA NA AHMED ALLY…” WANASHINDWA KUJITAMBUA”…. HUYU HAPA STAA WA PSG ALIYEPINGA HADHARANI ‘KUSAPOTI’ MAMBO YA ‘USHOGA’…AKATAA KUCHEZA MECHI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply