Habari za michezo

NKANE NA MAKAMBO WAFUFUKIA MAZOEZINI YANGA WAKIMPIGA MTU 8-0….CHICO USHINDI KAMA KAWAIDA ‘KAZUBAA’….

admin June 8, 2022 1:32 pm


Kikosi cha Yanga kimeibuka na ushindi wa mabao 8-0 dhidi ya Friends Rangers katika mchezo wa kirafiki uliopigwa jana.

Mabao ya Yanga yalifungwa na kiungo Dennis Nkane ambaye alitupia kamba mbili, Fiston Mayele alitupia kambani mara moja mzee wa kuwajaza Heritier Makambo yeye alitupia kamba mbili.

Mshambuliaji chipukizi wa timu hiyo Yusuph Athuman yeye alicheka na nyavu mara tatu kwenye mchezo huo wa kirafiki.

Yanga ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 64 baada ya kucheza mechi 26

KISA NJAMA ZA KUIFANYA AL AHLY WAKOSE KOMBE LA KLABU BINGWA AFRIKA MSIMU HUU…CAF WAMJIBU PITSO MOSIMANE … ISHU YA MAYELE KUUZWA KWA WAARABU…MWAKALEBELA AIVIMBIA RS BERKANE…ADAI NI NGUMU KWAO….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply