Habari za michezo

BARBARA GONZALEZ WA CHELSEA AJIUZULU …BILIONEA MPYA ATAJA KUWA CHANZO…BOSI MWINGINE NAYE AKIMBIA…

admin June 21, 2022 6:13 pm


Mkurugenzi wa Chelsea, Marina Granovskaia ameachia ngazi wadhifa wake baada ya kudumu Stamford Bridge kwa muda wa miaka 12.

Marina anafuata nyayo za Mwenyekiti wa klabu hiyo Bruce Buck, aliyetangaza kustaafu na atakiachia kiti chake alichodumu nacho kwa muda wa 19. Aidha bosi huyo mkongwe wa muda mrefu atabaki kuwa mshauri mkuu wa klabu.

Mabadiliko hayo ya uongozi yametokana na ujio wa bilionea mpya Todd Boehly, aliyenunua klabu Chelsea baada ya kupigwa bei na Roman Abramovich.

Marina alikuwa miongoni mwa viongozi aliyefanya mambo makubwa ndani ya klabu, lakini sasa safari yake inalekea kufika ukingoni kwa mujibu wa taarifa.

Katika mahojiano mbali mbali na vyombo vya habari nchini, Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez mara kadhaa amekuwa kinukuliwa kuwa Bi Mariana ni role model wake kwenye uongozi wa Soka, ambapo mara kadhaa amekuwa akiiga mambo mazuri kutoka kwake.

RASMI…BARBARA AANIKA SABABU ZA SIMBA KUMKOSA ADEBAYOR…ADAI WALITUMA OFA MARA TATU WAKAZIDIWA… YANGA NI MAFIA AISEE…STRAIKA WA MABAO AWAZIMIA SIMU SIMBA…OYA YA WAARABU KWA MAYELE NI BALAH…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply