Habari za michezo

RASMI…BARBARA AANIKA SABABU ZA SIMBA KUMKOSA ADEBAYOR…ADAI WALITUMA OFA MARA TATU WAKAZIDIWA…

admin June 21, 2022 6:02 pm


Kwa mara ya kwanza, CEO wa Simba SC, Barbara Gonzalenz amekiri kuwa, walimtaka sana nyota kutoka Nigeria, Victorien Adebayor lakini walizidiwa ofa na RS Berkane.

Barbara amesema kwenye kipindi hiki cha usajili, wamekuwa wakikutana na changamoto ya wachezaji kupandiwa dau kwani vilabu vingi vimekuwa vikiwafatilia wachezaji ambao wanawahitaji.

“Sasa hivi wakiona mchezaji tunamhitaji, nao wanakuja wanaweka ofa zao hivyo mchezaji anapanda thamani. Adebayo tulimtaka, tukapeleka ofa mara tatu na mwishoni tukazidiwa na Berkane,” alisema Barbara.

Mpaka sasa, Simba tayari wametangaza kumsajili Mosses Phiri raia wa Zambia na kuachana na nyota wao wawili, Rally Bwalya na Pascal Wawa.

BANGALA NA DJUMA KUNA JAMBO KUBWA YANGA…MENEJA WAO ATUA DAR CHAP CHAP KUWEKA MAMBO SAWA… BARBARA GONZALEZ WA CHELSEA AJIUZULU …BILIONEA MPYA ATAJA KUWA CHANZO…BOSI MWINGINE NAYE AKIMBIA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply