Home Burudani ZIGO LA MASKANI POA LIMERUDI TENA NDANI YA DStv…SAFARI HII MAINJINIA NI...

ZIGO LA MASKANI POA LIMERUDI TENA NDANI YA DStv…SAFARI HII MAINJINIA NI WAPYA…MSELELEKO NI ULE ULE TU KITONGA…

Usichukulie Poa Vitu vya Poa ndani ya @dstvtanzania pekee! 


Furahia msimu mpya wa kipindi bora namba moja kwa vijana *Maskani Poa* kinacholetwa kwako na baba Levo na Shilole kila Ijumaa saa 3:00 usiku ndani ya Maisha Magic Poa, 144 kwa sh 9,900 tu.

Piga *150*53# kulipia kifurushi chako mapema usipitwe na burudani hii @mwijaku



#DStvEwaaaah
SOMA NA HII  KISA MATOKEO YA TWAHA KIDUKU...MWAKINYO ASHINDWA KUJIZUIA...ATAJA WANAOMFELISHA...