Habari za michezo

YANGA KUANZA KUTAMBULISHA VIFAA VIPYA LEO….MANARA AIBUKA NA STAILI YA SIMBA….MASTAA WAPYA NI 5 TU…

admin July 4, 2022 3:14 am


Msemaji wa Yanga, Haji Manara amesema Yanga imesajili nyota watano wa kigeni ambao wataanza kuwatambulisha leo.

Akizungumza mara baada ya kuwasiri wakitokea Arusha walikocheza mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam na kutwaa taji kwa kumfunga Coastal Union kwa changamoto ya mikwaju ya penati 4-1 baada ya sare ya mabao 3-3.

Manara anasema wamesajili wachezaji watani tu wa kimataifa na wanaanza kumtambulisha mmoja lsaa 6 usiku.

“Ni wachezaji watano tu wa kigeni hatujasajili mchezaji yeyote mzawa na usiku wa kuamkia Jumatatu tuna mtangaza mmoja, kuamkia Jumanne, Jumatano mmoja hadi wanatimia watano,” anasema.

KUELEKEA MSIMU UJAO…SIMBA NAO HAWAKO KINYONGEE AISEE…WAPANGA KUZIFUATA AL AHLY NA ZAMALEKI MISRI… PAMOJA NA SIMBA KUDAIWA KUWA TAYARI WAMESHAMNASA….MPOLE AIBUKA NA HILI JIPYA….ADAI HUU NI MUDA WA MAVUNO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply