Habari za michezo

RASMI…ASEC MIMOSAS WAKUBALI YAISHE KWA AZIZ KI…WAMUAGA KAMA SIMBA WALIVYOMUAGA MORRISON…

admin July 5, 2022 11:00 am


Klabu ya ASEC Mimosas imemshukuru na kumtakia kila kila lakheri winga wao Stephan Aziz Ki kwenye majukumu yake mapya.

Kupitia ukurasa wao wa Instagram wameposti picha ya winga huyo na kuandika maneno kuashiria kuwa staa huyo amefikia mwisho wa mkataba wake na klabu hiyo.

Ki ameitumikia timu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili na kuisaidia kutwaa mataji mawili kwenye Ligi Kuu ya nchini Ivory Cost.

Winga huyo ambaye tayari amemalizana na Yanga atatambulishwa na klabu hiyo muda wowote kwaajili ya kuongeza nguvu kikosi cha timu hiyo msimu ujao.

KUELEKEA MICHUANO YA CAF…YANGA WAANZA KUJITUTUMUA MAPEMA…INJINIA HERSI AIBUKA NA TAMKO HILI LA KIBABE… BAADA YA KUMALIZA MKATABA NA SIMBA…HII HAPA TIMU MPYA ATAKAYOICHEZEA KAGERE…WANAAA JEZI ZA KIJANI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply