Habari za michezo

BAADA YA KUMTAMBULISHA MBURUNDI WA NEWCASTEL JANA…MASHINE NYINGINE HII HAPA ITATUA YANGA…BANDO MUHIMU…

admin July 10, 2022 5:05 pm


Mapema jana asubuhi, Yanga SC ilimpokea beki wa kushoto raia wa DR Congo, Joyce Lomalisa Mutambala kwa ajili ya kujiunga rasmi na timu hiyo.

Mkongo huyo anajiunga na Yanga akitokea Bravos do Maqui ya Angola. Pia amewahi kucheza GD Interclube ya Angola, AS Vita (DR Congo) na Mouscron (Ubelgiji).

Yanga imelazimika kumshusha beki huyo baada ya kumkosa mbadala mzuri wa kucheza eneo la kushoto.

Lomalisa amepewa mkataba wa miaka miwili kuichezea Yanga, huku ikiripotiwa kwamba kwa mwezi anatarajiwa kulipwa shilingi milioni sita.

Kwa muda wa miaka miwili akiwa anaitumikia Yanga, jumla atakuwa amepokea mshahara wa shilingi milioni 144 hadi kumalizika kwa mkataba wake huo.

KISA RONALDO…MESSI AWAPIGWA MKWARA PSG…AWAAMBIA WAKIMSAJILI TU..NA YEYE ANASEPA SIKU HIYO HIYO… WAKATI PAZIA LA LIGI KUU LIKIFUNGWA NA TUZO JUZI..NBC BANK WAIBUKA NA TAMKO HILI JIPYA…AJIRA 3,000 ZATAJWA..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply