Habari za michezo

BAADA YA SIMBA KUPATA MDHAMINI MPYA….BOSI SportPesa AIBUKA NA HAYA….ADAI WALIFURAHI KUACHANA NAO…

admin July 15, 2022 8:49 am


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa SportPesa, Tarimba Abbas, amewatakia heri Klabu ya Simba kwa kuingia mkataba mpya na M-Bet, huku akiwashukuru kwa ushirikiano wao ndani ya miaka mitano ya udhamini wao.

Tarimba amesema ulikuwa mkataba wa mafanikio makubwa, hivyo baada ya kupata barua yao ya kuachana nao rasmi walifurahi maana wana mengi ya kujivunia kutoka kwao ikiwa ni pamoja na mafanikio walioyafikia Simba katika soka.

Sportpesa amekuwa mdhamini wa vilabu vyote viwili vikubwa nchini Tanzania vya Simba na Yanga, kitendo Simba kusaini mkataba mpya na M- Bet ni ishara tosha kuwa SportPesa anaweza kubaki kuwa mdhamini wa klabu ya Yanga kama atafanikiwa kusaini mkataba mpya na mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu ya NBC.

KISA MORRISON KURUDI NYUMBANI…’KIPENSELI’ ATUPIWA VIRAGO YANGA…KASEKE NAYE AONYESHWA MLANGO WA KWENDA… AZAM FC WAJIBU MAPIGO SIMBA….NAO WASHUSHA KIFAA CHA MAANA KUTOKA GHANA…HUYO OKRAH CHA MTOTO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply