Habari za michezo

KUELEKEA TUZO ZA CAF LEO…PAPE SAKHO HUYU HAPA….MSENEGAL ANAYEIWAKILISHA TANZANIA NA SIMBA KIMATAIFA…

admin July 21, 2022 11:32 am


Nyota wa Kikosi cha Simba SC, Pape Sakho tayari amefika nchini Morroco kuhudhuria Tuzo za CAF 2022 ambazo zitafanyika leo saa 4 usiku (EAT) jijini Rabat.

Sakho amefika hatua ya fainali kati ya watu watatu, ambacho ni kipengele cha goli bora la mwaka la CAF.

Goli lililoingia katika kinyang’anyiro hicho ni lile alilofunga katika Uwanja wa Benjamin Mkapa dhidi ya ASEC MIMOSAS hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika.

Goli hilo la Sakho alilofunga dhidi ya ASEC MIMOSAS limewahi kushinda tuzo ya goli bora la wiki.

RASMI…TFF WAMFUNGA MDOMO MANARA KWA MIAKA MIWILI….MANENO YA HOVYO KWA KARIA YAMPONZA MIL 20… KUELEKEA MSIMU UJAO…NABI ARUDI NA MAFAILI MATATU YANGA…MWINYI ZAHERA AFUNGUKA ISHU YA KAMBI KIGAMBONI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply