Habari za michezo

ULISIKIA ISHU YA MOSIMANE NA YANGA..? BASI UKWELI WA MCHONGO WOTE NA KAZI ANAYOKUJA KUIFANYA UKO HIVI…

admin July 28, 2022 4:37 pm


Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Al Ahly ya Misri, Pitso Mosimane raia wa Afrika Kusini ameitikia ombi la Klabu ya Yanga na kuthibitisha kuwa atahudhuria katika wiki ya Mwananchi itakayofanyika Agosti 6, 2022 jijini Dar es Salam.

Ikumbukwe kuwa, Juni 26, 2022, Pitso aliipongeza Yanga kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC na kufanya gwaride la heshima huku akisema kuwa Afrika nayo inaweza kufanya magwaride yao ya Ubingwa kama Ulaya.

Pitso aliongeza kuwa angetamani kuja Tanzania kutazama mechi ya Yanga SC na Coastal Union fainali ya FA lakini majukumu yamembana akaomba link ya kutazama mechi hiyo. Hata hivyo aliomba kujua Ratiba ya Simba na Yanga ili kuja Tanzania kuutazama mchezo huo.

BAADA YA KUNUSURIKA KUSHUKA DARAJA …KOCHA MTIBWA SUGAR AKATAA USAJILI WA WACHEZAJI VIBABU… KOCHA WA VIUNGO SIMBA AFUNGUKA JINSI ALIVYOPATA ZALI LA KUAJIRIWA…ATOA SABABU ZA KUKATAA OFA ZA WAARABU…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply