Na kuanzia Jumamosi ya tarehe 30 utaweza kufaidi Highlights za wiki nzima, huku ukipata vizuri extra kupitia Extra Cameras exclusive ndani ya Showmax.
Unasubiri nini sasa?
Pakua sasa App hii ya Showmax ambapo kwa wateja wa Bomba, Shangwe, Compact na Compact Plus watapata punguzo la 50%.