Habar za Usajili Simba

KUHUSU USAJILI ….SIMBA WAANIKA MPANGO WA KUVUTA MASTAA WAKUBWA ZAIDI…” USAJILI HAUJAISHA BADO”….

admin July 31, 2022 3:51 pm


Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amesema Klabu yao haijafunga usajili wake kwani bado inapambana kusaka wachezaji wengine kuimarisha kikosi ili kuhakikisha wanafikia malengo yao msimu ujao.

“Tunaomba radhi kwa msimu uliopita lakini ilikuwa ni funzo. Tunafanya kazi kuhakikisha tunafanya usajili mzuri ili tusisimamishwe na mtu yeyote. Tumejipanga kuwa na msimu bora zaidi.

“Kwanza niseme Simba usajili hatujamaliza. Sasa taarifa rasmi kuhusu usajili wa Simba nenda kwenye platforms za Simba. Najua CEO wiki hii ataachia kitu. Nawahakikishia tupo vizuri na tutaendelea kuwa vizuri,” amesema Mangungu.

SAKHO AVUNJA UKIMYA SIMBA…AFUNGUKA ALICHOAMBIWA NA SADIO MANE…AANIKA TIMU ZILIZOMFUATA KUMTAKA… KIWANGO CHA NUNEZ CHAMTIA WAZIMU KLOPP…ASHINDWA KUJIZUIA AWATUPIA DONGO WALIOMSEMA VIBAYA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply