Habari za michezo

FT: SIMBA 2-0 ST GEORGE….KIBU NA OKWA WAFUNGA STAILI MOJA….CHAMA AMERUDIII..HUYO MZUNGU LABDA ‘WAMLOGE’…

admin August 8, 2022 5:49 pm


SIMBA imeshinda mabao 2-0 dhidi ya St George kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Mkapa.

Ni mchezo maalumu kwenye kilele cha Wiki ya Simba ikiwa ni mchezo wa kwanza kwa Zoran Maki ambaye ni raia wa Serbia.

Mabao ya Simba yamefungwa na mzawa Kibu Dennis na Nelson Okwa ambaye aliingia kipindi cha pili akitokea benchi.

Maki amesema kuwa wamefurahi kupata ushindi kwenye mchezo wa kirafiki na wanakwenda kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga unaoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa,Agosti 13.

“Tunajua kwamba mchezo ulikuwa mzuri na wachezaji wameweza kufanya kikubwa bado kuna kazi ya kuweza kufanya ili kuweza kuongeza kitu kwenye kikosi chetu,”.

#SIMBADAY: SIMBA WALIVYOIGARAGAZA YANGA KWA MKAPA LEO….MBABE WA MANDONGA AIBUA SHANGWE UWANJA MZIMA… IGENI MFEEE…LUPASO YATAPIKA POMONI….ZORAN ACHORA UPYAAA RAMANI YA KUITUNGUA YANGA JMOSI…OKWA NI BALAH..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply