Habari za michezo

#SIMBADAY: SIMBA WALIVYOIGARAGAZA YANGA KWA MKAPA LEO….MBABE WA MANDONGA AIBUA SHANGWE UWANJA MZIMA…

admin August 8, 2022 5:40 pm


Tumeujaza! ndivyo wanavyosema mashabiki wa Simba baada ya kufanya kufuru kwenye tamasha lao la Simba Day ambalo kilele chake ni leo Agosti 8, 2022.

Licha ya idadi ya mashabiki wa Simba kuwa kubwa nje tayari uwanja umejazwa huku vaibu la tamasha likiendelea kupamba moto kutokana na burudani zinazoendelea.

Ni wazi mashabiki wa Simba wameipiga bao Yanga ambao licha ya kuwa wengi walishindwa kuujaza uwanja.

Ngoma kali na ustadi wa Dj Joozey vilionekana kuwakosha mashabiki wa Simba waliopo kwa Mkapa. 

KAONEKA ATEKA ‘SHOW’


Bondia mbabe wa Karim Mandonga, Shaban Kaoneka ametambulishwa katika kilele cha Tamasha la “Simba Day” linalofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa.

Kaoneka alimtandika bondia maarufu kwa sasa Karima Mandonga kwa TKO ya raundi ya nne Julai 30 katika Uwanja wa Maji Maji Songea.

Kwa maana hiyo Shaban Kaoneka nae mnyama.

KISA JEZI NPYA SIMBA…MASHABIKI WAMKATAA FRED VUNJA BEI…WALIA BEI KUUZWA ZAIDI YA 150000 … FT: SIMBA 2-0 ST GEORGE….KIBU NA OKWA WAFUNGA STAILI MOJA….CHAMA AMERUDIII..HUYO MZUNGU LABDA ‘WAMLOGE’…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply