Habari za michezo

POLISI TZ WAIKALIA YANGA KOONI KUELEKEA MECHI YA KWANZA YA LIGI KUU…WAKUMBUSHIA KIPIGO CHA VIPERS…

admin August 10, 2022 5:24 pm


Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania, Joslin Sharif amesema kuwa kuelekea mchezo wao wa kwanza wa ligi dhidi ya Yanga watatumia mchezo wa kirafiki na wapinzani wao dhidi ya Vipers kwa ajili ya kupata ushindi.

Polisi wanatarajia kuanza ligi kwa kumenyana na Yanga Agosti 16, mwaka huu kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Amri Abeid, Arusha.

Kocha Joslin amesema kuwa “Tunamshukuru Mungu timu ipo sawa tuko tunajiandaa na mchezo wetu dhidi ya Yanga.

“Tunatarajia kurudi Moshi kesho, nimeona Yanga wana timu nzuri ila tutapambana kama wanaume kwani nilishuhudia mchezo wao dhidi ya Vipers hivyo nimeona namna wanavyocheza nitatumia mbinu zile kwa ajili ya kupata ushindi.”

KUELEKEA MECHI NA YANGA KESHO KUTWA….KOCHA SIMBA AINGIA UBARIDI..ADAI LAZIMA JAMBO LITOKEE SIKU HIYO… KISA USAJILI WA MASTAA WAPYA NA MZUNGU JUU….RAGE AIBUKA NA JIPYA KUHUSU HATMA YA SIMBA MSIMU UJAO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply