Habari za michezo

ZILE SARAKASI ZA ADEBAYOR…ZAISHIA KWA WARAABU…ATUA TIMU ILIYOMALIZA KIPAJI CHA CHAMA…

admin August 10, 2022 5:47 pm


Klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco imekamilisha usajili wa mshambuliaji Victorien Adebayor (25) raia wa Niger akitokea Union Sportive Gendarmerie Nationale (USGN).

Nyota huyo aliyekuwa akiwania pia na Klabu ya Simba, amesaini kandarasi ya miaka minne (4) ya kuwatumikia mabingwa hao wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Adebayor ndiye mfungaji Bora wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika Msimu wa mwaka 2021/2022 akiwa na mabao sita.

KISA USAJILI WA MASTAA WAPYA NA MZUNGU JUU….RAGE AIBUKA NA JIPYA KUHUSU HATMA YA SIMBA MSIMU UJAO… KISA YANGA…ZORAN AJIFUNGIA CHUMBANI KWA MASAA MAWILI….HERSI AUNDA TIMU YA USHINDI KWA YANGA NNJE YA UWANJA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply