Habari za michezo

PAMOJA NA YOOTE HAYO….ALICHOFANYA AZIZ KI UWANJANI LEO…SIMBA LAZIMA WAMUOTE…JINA LAKE LATAJWA ZAIDI…

admin August 13, 2022 6:42 pm


MAVITU anayofanya Aziz Ki yanaonekana kuwakosha mashabiki wa Yanga na kuamua kuanza kuimba jina la raia huyo wa Burkina Faso.

Azizi Ki ndiye mpishi aliyepika bao la kusawazisha kwa Yanga lililofungwa na Fiston Mayele dakia ya 68 ya mchezo.

“Azizi, Azizi,” waliskika mashabiki hao wa Yanga mara kwa mara wakiimba jina la staa huyo aliyesajili kutoka ASEC Mimomas ya Ivory Coast, ambapo alimaliza ligi kuu nchini humo akitwaa tuzo ya mchezaji bora.

Tangu aanze kutumika kama namba 10 katika kipindi cha pili anaonekana kuwa na madhra zaidi kwa Simba tofauti na awali ambapo alikuwa akitokea pembeni.

Katika mchezo huo wa fainali ya Ngao ya Jamii kati ya vigogo hao wa Kariakoo imetamatika kwa Yanga kuibuka kidedea kwa mara ya mpili mfululizo huku muuaji akiwa yuleyule Fiston Mayele.

FT: YANGA 2-1 SIMBA…MAYELE AWAFANYIA UNYAMA SIMBA…MORRISON ,MOLOKO WATIBUA TIBUA…SAKHO KIDOOGOOO… DAKIKA CHACHE KABLA YA MECHI KUANZA….OKRAH AWAPA UJUMBE HUU KUNTU MASHABIKI WA SIMBA….YANGA MJIANDAE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply