Habari za michezo

FT: YANGA 2-1 SIMBA…MAYELE AWAFANYIA UNYAMA SIMBA…MORRISON ,MOLOKO WATIBUA TIBUA…SAKHO KIDOOGOOO…

admin August 13, 2022 6:37 pm


YANGA imeanza kwa kutetea taji lao la Ngao ya Jamii kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Simba kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa kwa mabao ya Fiston Mayele ambaye amemtungua Beno Kakolanya huku lile la Simba likifungwa na Pape Sakho.

Simba walianza kufunga kipindi cha kwanza mapema dk ya 16 na kuwafanya waongeze hali ya kujiamini mpaka dk 45 zilipokamilika.

Mabadiliko ya Bernard Morrison ambaye aliingia kipindi cha pili na Jesus Moloko yaliongeza nguvu upande wa kiungo.

Zoran Maki alizidiwa mbinu na uzoefu na Nasreddine Nabi ambaye ameweza kuwaongoza vijana wake kupindua meza kibabe.

ACHANA NA STORI ZA VIJIWENI…HUU HAPA UKWELI WA KWANINI KAMBOLE HATACHEZA MECHI YA LEO DHIDI YA SIMBA… PAMOJA NA YOOTE HAYO….ALICHOFANYA AZIZ KI UWANJANI LEO…SIMBA LAZIMA WAMUOTE…JINA LAKE LATAJWA ZAIDI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply