Habari za michezo

BAADA YA ‘KUTUSULIWA’ NA YANGA JANA….ZORAN MAKI AKITAZAMA KIKOSI CHAKE WEE…KISHA AKAGUNA NA KUSEMA HAYA…

admin August 14, 2022 3:05 pm


Zoran Maki, Kocha Mkuu wa Simba, amesema kuwa, msimu huu wa 2022/23, hautakuwa mwepesi kwa sababu kila timu inahitaji kufanya vizuri.

Maki ana kibarua cha kurejesha mataji ndani ya Simba baada ya msimu wa 2021/22 timu hiyo kuyeyusha yote matatu ambayo ni Ngao ya Jamii, Kombe la Shirikisho la Azam Sports na Ligi Kuu Bara.

 Maki alisema wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya msimu mpya na wanatambua kwamba kuna kazi kubwa ya kufanya.

“Wachezaji wanatambua kwamba watakuwa na msimu ambao una ushindani mkubwa, hivyo kuna kazi kubwa ya kufanya kupata matokeo mazuri kwenye mechi zetu.

“Ambacho ninafurahi ni kuona kwamba yale ambayo tunafundishana wanaelewa na kuyafanyia kazi, hivyo tutapambana katika kuhakikisha tunacheza mpira mzuri na kupata ushindi,” alisema Maki.

LILE DILI LA SAMATA KURUDI TENA KUKIPIGA UINGEREZA LIKO HIVI…CARDIFF CITY WAKUSANYA NGUVU KUMVUTA UPYA … WAKATI AZAMKA IKIWA ‘LIVE’ MUDA HUU…KIUNGO MUIVORY ASHINDWA KUJIZUIA KUHUSU LIGI KUU YA TZ…AACHIA KALI YA MWAKA..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply