Habari za michezo

BAADA YA USAJILIWA KISINDA….TARAJIA MABADILIKO HAYA KWENYE KIKOSI CHA YANGA…PANGA LAZIMA LIPITE…

admin September 3, 2022 5:22 am


KUKAMILISHA usajili wa nyota Tuisila Kisinda ambaye ni kiungo kunaongeza nguvu kwenye kikosi hicho kwenye mechi za ushindani.

 Huenda Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi akaamua kuanza na nyota wake wapya amoja na wale ambao walikuwa na kikosi hicho kwa msimu uliopita wa 2022/23 kwenye mchezo wake mmoja wa ligi ama kitaifa.

 Nyota hao 11 wanaweza kuwa namna hii:-

  1. Diarra Djigui
  2.  Djuma Shaban
  3.  Dickson Job
  4.  Yannick Bangala
  5.  Joyce Lomalisa
  6.  Feitoto
  7. SureBoy
  8. Tuisila Kisinda
  9.  Aziz KI
  10. Bernard Morisson
  11. Fiston  Mayele
SIO SIMBA NA YANGA TU ZENYE NEEMA….GEITA GOLD NAO WAPATA ‘BINGO’  …GF TRUCKS WAIMWAGIA MAMILIONI YA UDHAMINI… WAKATI YANGA WAKIMRUDISHA KISINDA BONGO…CHAMA KAWATAZAMA WEE…KISHA KWA ‘ZARAU’ AKAWAAMBIA HAYA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply